Maoni kuhusu Afya ya Mama na Mtoto - 2006/2007
Muhtasari huu unatokana na ushirikiano kati ya YAV, Asasi ya Usawa katika Afya na
Kamati za Bunge za Huduma za Jamii na Ustawi wa Jamii wenye lengo la kuchangia
katika jitihada kupunguza vifo vya wanawake wajawazito. Mpaka sasa jitihada za wizara
ya Afya na Ustawi wa Jamii katika mapambano haya hazijafanikiwa na wala hazikaribii
mafanikio. YAV imepitia maswali na majibu yaliyoulizwa bungeni wakati wa kikao cha
bunge na inawasilisha yaliyojitokeza katika muhtasari huu wa sera.
Download file
Comments
|