


Juu YetuDiraSikika hufanya kazi kuhakikisha usawa na upatikanaji wa huduma bora za afya kupitia mifumo ya afya na uwajibikaji katika nyanja zote za serikali MaonoHuduma bora za afya kwa kila mtanzani MalengoMpango na mkakati wa sikika umelenga kufanikisha vitu vifuatavyo
Jambo la 1.0 Kuboresha bajeti ya afya katika secta ya vvu na ukimwi, uwazi na uwajibikaji katika serikali kuu pamoja na serikali za mitaa. Jambo la 2.0 Kuboresha uwajibikaji na usawa wa mgawanyo wa wafanyakazi wa afya katika vituo vyote vya afya. Jambo la 3.0 Kuongeza uwazi na uwajibikaji katika manunuzi na uzambazaji vifaa vya afya pamoja na madawa katika nyanja zote za utoaji wa huduma ya afya. |