Kazi za Uchambuzi

  
Nini Mchango wa Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii katika Huduma za Afya? – ‘Sauti za Wananchi’

Screen Shot 2014-09-30 at 3.15.10 PM Lengo kuu la kitabu hiki ni kutoa maoni ya wadauwalionufaika na dhana ya SAM na namna zoezi hilo lilivyopokelewa na wadau mbalimbali wa afya na jinsi wanavyoutumia uzoefu na ujuzi walioupata kupitia SAM katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

 

Soma zaidi…


Mpina’s Speech on Unnecessary Expenditures

UFISADI uliokithiri na alichokisema mbunge wa CCM Luhaga Mpina juu ya ufisadi wa kutisha serikalini Soma zaidi…


Mkutano wa Wadau wa Masuala ya Dawa na Vifaa tiba

Screen Shot 2014-04-03 at 11.46.01 AM

 

Novemba 2012, Sikika iliwaalika wadau wa mfumo wa ugavi na usambazaji wa dawa na vifaa tiba kutoka sehemu mbalimbali nchini ili kujadili changamoto zinazoukabili mfumo wa ugavi na usambazaji wa dawa na vifaa tiba katika…

 

Soma zaidi


Ripoti: Upatikanaji wa Dawa Muhimu, Vifaa tiba na Vitanda

Upatikanaji wa dawa muhimu na vifaa tiba (pamoja na vifaa vya maabara) katika vituo vya huduma za afya nchini, umekuwa hauridhishi kwa muda mrefu sasa…

Read more…


Matumizi Yasiyo ya Lazima, Julai 2010

Utoaji wa huduma za msingi ni changamoto kubwa tanzania kwa kuwa rasilimali fedha ni kidogo. hata hivyo, watu wengi wanaafiki kuwa upangaji wa matumizi ya bajeti ya serikali haufai..

Matumizi Yasiyo ya Lazima

 


Mkutano wa Wadau wa Masuala ya dawa na vifaa tiba

Download brief


Upatikanaji wa Dawa Muhimu, Vifaa Tiba na Idadi ya Vitanda katika Hospitali, Tanzania Bara

Download brief


Kamati za kudhibiti Ukimwi nchini Tanzania: Ni ufumbuzi katika kushirikisha jamii?

Download report


Matokeo ya mikutano yetu na wabunge – 2006/2007

Youth Action Volunteers kwa kupitia kikundi cha Usawa katika Afya tumeweza kukutana na wabunge hasa wale wa kamati ya huduma za jamii. Kwa mwaka 2005 tumeweza kukutana nao mara mbili, wakati kwa mwaka 2006 tumekutana nao mara tatu na mara tatu tena kwa mwaka wa 2007.

Soma zaidi


Upembuzi wa bajeti ya sekta ya afya-2008/2009

Bajeti ya sekta ya afya inachangiwa na fedha kutoka ndani na nje ya nchi. Hapa vipo vyanzo vya ndani (mapato kutokana na kodi, gawio kwa hisa za serikali katika mashirika na makampuni, faini, faida za riba nk) na fedha za nje kupitia katika msaada kwenye bajeti (GBS)

Soma zaidi


Rasimu ya upembuzi wa bajeti ya sekta ya afya – 2009/2010

Baadhi ya viashiria vya makisio ya hali ya uchumi na malengo ya kisera kwa mwaka 2009/10-2011/12 (BG) yanalenga kufikia pato halisi la taifa kwa asilimia 7.0 katka mwaka 2009, 7.3% katika mwaka 2010 na 7.5% katika mwaka 2012.

Soma zaidi


Ushiriki wa jamii katika Mpango wa Utoaji Hunduma za Afya wa Wilaya – 2010

Kipeperushi hiki kimeandaliwa na Sikika (zamani Youth Action Volunteers, YAV) kwa lengo la kuelimisha wananchi juu ya dhana ya ushiriki wa jamii katika Mipango ya Afya na umuhimu wake ili…

Soma zaidi


Tafsiri Rahisi ya Sheria ya Kuzuia na Kudhibiti UKIMWI ya Mwaka 2008

Sheria hii ilipitishwa na Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania tarehe 1 Februari, 2008. Tarehe 4 Aprili, 2008, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Jakaya Kikwete, aliweka saini ili kuidhinisha kuanza kutumika rasmi kwa sheria hii.

 


Toleo La Lugha Rahisi La Sera Ya Afya Ya Tanzania Ya Mwaka 2007

Kwa mujibu wa tafsiri ya Shirika la Afya Duniani ya mwaka 1948, Afya ni hali ya ukamilifu
wa kiakili, kimwili, kijamii na kutokuwepo kwa maradhi. Afya bora ni rasilimali muhimu
katika kuchangia maendeleo ya mtu binafsi, familia na nchi, hususan katika kuondoa
umaskini.

 


Matumizi Yasiyo ya Lazima Toleo la 2, Julai 2010

Utoaji wa huduma za msingi ni changamoto kubwa Tanzania kwa kuwa rasilimali
fedha ni kidogo. Hata hivyo, watu wengi wanaafiki kuwa upangaji wa matumizi
ya bajeti ya serikali haufai.

 

 


Tafsiri rahisi ya Mipango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM) 2007- 2017

Maradhi ni mojawapo ya maadui watatu ukiacha ujinga na umasikini ambao serikali
imekuwa ikipigana nayo tangu Tanzania ipate uhuru wake mwaka 1961.

Soma zaidi


Ushiriki + Ufuatiliaji + Uwazi = UWAJIBIKAJI

Download file

Sikika ilianza kutekeleza rasmi shughuli ya Ufuatiliaji na Uwajibikaji kwa Jamii (UUJ), maarufu kama SAM – Social Accountability Monitoring) katika ngazi ya serikali ya mitaa/ vijiji mwanzoni mwa mwaka 2011.

Download file


Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors