Rasilimali Watu

HUMAN RESOURCE FOR HEALTH (HRH)

Idara hii inalenga kuona ongezeko la bajeti ili kukabiliana na changamoto ya upungufu wa rasilimali watu ndani ya sekta ya afya, kuwepo kwa mgawanyo sawa wa wafanyakazi na kuhakikisha watumishi wa afya wanafuata maadili na weledi wa taaluma yao. Idara pia inafanya utafiti kuhusu usawa wa jinsia kwa kuzingatia Rasilimali Watu katika Afya na Fedha, mafunzo, usajili wa wafanyakazi, mgawanyo, kudumu kazini na maadili ya kazi. Pia idara inaendesha mikutano na mijadala ya kujenga uwezo wa watumiaji na watoa huduma za afya kwenye ngazi ya Serikali za mitaa/vijiji na wabunge kwa lengo la kuboresha mfumo wa utoaji na upatikanaji wa huduma za afya nchini.

Leave a Reply

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors