Dira, Maono na Malengo ya Sikika

Screen Shot 2013-10-10 at 12.20.17 PMDira

  • Huduma bora za afya kwa watanzania wote.

Dhamira

  • Kuhakikisha upatikanaji wa huduma za afya kwa kuthamini mifumo ya afya na uwajibikaji katika ngazi zote za serikali

Malengo makuu

  • Sikika imedhamiria kufanikisha malengo makuu yafuatayo:
    1. Kuongeza kasma inayotengwa, mgawanyo wenye uwiano wa watumishi wa afya na uzingatiaji wa maadili ya taaluma ya afya
    2. Screen Shot 2013-10-10 at 12.19.27 PMKukuza ufanisi katika bajeti ya sekta ya afya, uwazi na uwajibikaji katika ngazi zote za Serikali kuu na Serikali za Mitaa
    3. Kuongeza uwepo na upatikanaji,wa dawa na vifaa tiba katika ngazi zote za utoaji wa huduma za afya

                   4.Kukuza uwajibikaji katika usimamizi wa rasilimali za shughuli za UKIMWI                              katika ngazi zote za Serikali kuu na Mitaa.

Download: Sikika Bronchure

Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors