LANGUAGE :
English | Swahili

Makundi ya Machapisho

Machapisho Mapya

  • Jarida la Sikika No. 4

     

    KARIBU tena mpendwa msomaji katika jarida letu la 4. Toleo hili linakupa fursa ya kufahamu shughuli zetu za mwaka 2011 ambazo zililenga na kuchangia katika kuboresha utoaji wa huduma bora za afya nchini. Katika kutekeleza shug ...
    Soma zaidi

  • Inatosha: Ubadhilifu Fedha za Walipa Kodi Ukomeshwe! April 22, 2012

     

    Sikikaimesikitishwa na kushtushwa na ripoti ya iliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali (CAG) iliyoibua matumizi mabaya ya fedha za umma na kiwango kikubwa cha misamaha ya kodi.

    Read more --> Soma zaidi

  • MITM na MoHSW: Hatua za haraka zichukuliwe kulinda afya za wananchi! 26 Februari, 2012

    Wizara ya Afya naUstawi wa Jamii na Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko  zinatakiwa kuhakikisha kuwa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) pamoja na Shirika la Viwango nchini (TBS) wanachukua hatua za haraka katika kuteketeza bidhaa zote ambazo hazina ubora zili ...
    Soma zaidi

  • Hali ya mgomo wa madaktari na haki ya kuishi

     

    Kuanzia tarehe  24 Januari 2012 hadi sasa tumeshuhudia mgomo mkubwa wa madaktari katika hospitali za serikali kwenye mikoa ya Dar es salaam,Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya na Tanga,hali inayotishia afya na uhai wa watanzania.  Kutoka ...
    Soma zaidi

  • Serikali na madaktari wachukue hatua za haraka kuokoa maisha ya Wananchi, 26 Januari 2012

     

    Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii inatakiwa kuchukua hatua za haraka kumaliza mgogoro baina yao na madaktari ili kuepusha madhara makubwa katika upatikanaji wa huduma za afya nchini. Ijulikane kuwa, jukumu la awali la wizara kwa kushirikiana na m ...
    Soma zaidi

  • Wananchi walioarifiwa – Bajeti iliyoarifiwa

     

    Taarifa kuhusu bajeti zilizotolewa hivi karibuni katika tovuti ya Wizara ya Fedha na Uchumi zimesaidia kuwawezesha wananchi kufuatilia mjadala wa bajeti na kuishauri serikali jinsi ya kutatua kero zinazowakabili.

    Vitabu vya bajeti ni nyaraka muhimu inayofafanua jin ...
    Soma zaidi

  • Lini bajeti itamnufaisha Mtanzania

    ...
    Soma zaidi
  • Upungufu wa madawa walemaza Sekta ya Afya, Oktoba 2011

     

     

    Read more --> Soma zaidi

  • Jarida la Sikika No. 1


    ...
    Soma zaidi
  • Jarida la Sikika No. 2

    ...
    Soma zaidi