LANGUAGE :
English | Swahili

Makundi ya Machapisho

Fafanuzi

  • Msimamo wa Sikika kuhusu Mgomo unaoendele​a wa madaktari, 4 July 2012

    UTANGULIZI
    SIKIKA ni shirika lisilo la kiserikali linalotekeleza shughuli mbali mbali zenye lengo la kuchochea upatikanaji wa huduma za afya zenye uwiano, viwango na ubora unaokubalika, gharama nafuu na zilizo endelevu. SIKIKA imekuwa mstari wa mbele kufanya ...
    Soma zaidi

  • Maoni kuhusu bajeti ya sekta ya afya - 2007/2008

    Ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma (PER) ni moja kati ya vipengele vya mchakato wa mipango na bajeti ya serikali, vyenye lengo la kuhakikisha mfumo wa matumizi ya serikali unarandana na vipaumbele vya kisera kama vilivyo ainishwa katika mkakati wa kupunguza umasikini, ambao ni mkakati wa mud ...
    Soma zaidi

  • CSO Commentary in PER- MKUKUTA- 2007

    ...
    Soma zaidi
  • Maoni kuhusu Afya ya Mama na Mtoto - 2006/2007

    Muhtasari huu unatokana na ushirikiano kati ya YAV, Asasi ya Usawa katika Afya na
    Kamati za Bunge za Huduma za Jamii na Ustawi wa Jamii wenye lengo la kuchangia
    katika jitihada kupunguza vifo vya wanawake wajawazito. Mpaka sasa jitihada za wizara
    ya Afya na Ustawi wa Ja ...
    Soma zaidi

  • Maoni yetu juu ya repoti ya ukaguzi wa fedha wizara ya afya na ustawi wa jamii kwa mwaka 1998/99-2006/07

    Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ilianzishwa chini ya Ibara ya 143, ibara ndogo ya 5 ya Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2005 kwa ajili ya ukaguzi wa hesabu za serikali na asasi nyingine za umma. Sheria ya Fedha namb ...
    Soma zaidi

  • Comments on the financial audit reports for the ministry of health and social welfare for year 1998/99-2006/07

    The office of the Controller and Auditor General (CAG) was established under Article 143, sub section (5) of the Constitution of the United Republic of Tanzania 1977 (revised 2005) to oversee the accounts of the government and other public bodies. The Finance Act No 6 of 2001 (revised 2004) re ...
    Soma zaidi