Utafiti

  
Maoni ya Wananchi juu ya Huduma za VVU na UKIMWI

Screen Shot 2014-03-07 at 10.44.48 AM

 

Sekta ya afya na UKIMWI inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zinasababisha upatikanaji wa huduma kuwa wa matatizo. Huduma za VVU na UKIMWI nchini…

 

 

Soma zaidi…


Maoni ya Wahudumu wa Afya juu ya Upatikanaji wa Huduma za UKIMWI

Screen Shot 2014-03-07 at 10.44.58 AM

 

Ni dhahiri kuwa VVU na UKIMWI ni moja ya sekta zenye umuhimu mkubwa hasa kwa WAVIU. Huduma za VVU na UKIMWI zinapatikana kwenye hospitali za wilaya…

 

 

Soma zaidi…


Je Kijana unashiriki, kuandaa na kusimamia mipango ya huduma ya afya-2006

Soma zaidi


Rushwa ndogo ndogo katika huduma za afya – 2010

HII ni ripoti ya utafiti uliafanyika kwa agizo la Sikika, shirika linalofanya
shughuli za maendeleo ya jamii hususan katika sekta ya afya.
Rushwa ni tatizo linagusa sekta zote, lakini ni tatizo kubwa zaidi
katika sekta ya afya.

 

Soma zaidi


Chakula Cha Daktari – Juni 2010

Chakula cha da

Kama ilivyo katika nchi nyingine, nchini Tanzania pia, rushwa imeenea katika sekta zote za uchumi na utumishi wa umma kiasi kwamba imekuwa ni sehemu ya maisha ya kila siku ya mtanzania.

Soma zaidi


Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors