Taarifa kwa Umma

  
MPYA: Jitihada za Haraka Zifanyike Kutatua Uhaba wa Dawa Nchini 2/10/2016

Wiki iliyopita Sikika ilikutana na vyombo vya habari kujadili uhaba wa dawa unaoikabili Bohari Kuu ya Dawa (MSD). Vyombo vya habari kwa nyakati tofauti vilitoa taarifa sahihi kuhusu tatizo hili. Pakua…


MAOMBI YA KUKUSIHI KUTO KUTIA SAINI MISWADA YA SHERIA YA TAKWIMU YA 2015…

Mhe. Rais, Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania, ni muungano wa mashirika zaidi ya 100 yanayo tetea haki za binadamu Tanzania. Mtandao kwa kushirikiana na Wanachama wake pamoja na wasio wanachama tumehuzunishwa na kitendo cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha Muswada wa Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Muswaada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Haki za Binadamu kwa Ujumla. Soma zaidi…


Tamko la watetezi wa haki za binadamu kumtaka Rais aisitie saini…

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa kushirikiana na baadhi ya Wanachama wake, Kituao cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), SIKIKA, Mtandao wa Jinsia-TGNP, Jamii Forums, Mtandao wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria (TANLAP) tumeshtushwa na kusikitishwa na kitendo cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha Muswada wa Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Pamoja na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kurekebisha au kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.  Soma zaidi…


Serikali inapaswa kumaliza Tatizo Sugu la Ukosefu wa Damu Salama Nchini

SIKIKA inasikitishwa na taarifa za kukosekana kwa damu salama katika vituo vya kutolea huduma za afya nchini. Damu salama ni moja kati ya dawa muhimu kwa kuwa inakidhi vipaumbele vya afya katika jamii kama ilivyobainishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO).  Pakua…


Ukosefu wa dawa na vifaa tiba katika hospitali, vituo vya afya na zahanati za umma nchini.

SIKIKA imesikitishwa na taarifa za hivi karibuni zinazoeleza kuwa na uhaba wa dawa na vifaa tiba muhimu katika vituo vya kutolea huduma vya umma nchini. Upungufu huu unasemekana kuathiri zaidi wananchi wasio na bima za afya.Soma zaidi…


TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI JUU YA KUFUNGIWA KWA SHIRIKA LA SIKIKA WILAYANI KONDOA MKOANI DODOMA

Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu, ni mwamvuli wa mashirika zaidi ya 100 yanayo tetea haki za binadamu hapa Tanzania, mashirika haya kwa pamoja yanalaani vikali kufungiwa kufanya kazi kwa muda usiojulikana kwa shirika la SIKIKA katika wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma. SIKIKA ni shirika lisilo la kiserikali lililosajiliwa na linalofanya kazi ya utetezi wa afya na kusimamia miradi inayotelezwa na hamashauri mbalimbali ikiwemo Kondoa.  Read more…


Tathmini kuhusu ufinyu wa bajeti inayotengwa kwa ajili ya dawa muhimu, vifaa tiba na vitendanishi

UKOSEFU wa mara kwa mara wa dawa muhimu na vifaa tiba katika vituo vya huduma za afya vya umma bado ni tatizo Tanzania. Soma zaidi…


Fedha za UKIMWI zitumiwe kwa ufanisi kuokoa maisha ya watu! Mei 22, 2014

Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyotolewa hivi karibuni imebainisha kuwepo kwa kiasi kikubwa cha fedha za miradi ya UKIMWI ambazo hazikutumika kwa mwaka wa fedha 2013/14. Jumla ya Halmashauri 58 zimeshindwa kutumia kiasi cha shilingi bilioni 2.3 za Tanzania. Soma zaidi…


Toeni kwa wakati vitabu vya makadirio ya bajeti kwa wabunge: Mei 05, 2014

KUTOA  kwa wakati vitabu vya bajeti ya taifa kwa wabunge na umma kwa ujumla ni hatua muhimu katika kukuza uwazi, ubora na ufanisi katika bajeti…Vitabu vya Bajeti…


Tamko la wadau wa afya: Haki ya afya na rasimu ya katiba mpya Feb 10, 2014

Kwanza tunapenda kuipongeza Tume ya Katiba kwa kazi kubwa waliyofanya katika kukusanya maoni na kuandaa rasimu ya pili ya Katiba na vilevile kwa kugusia Afya katika Haki za binadamu…

Soma zaidi…


Madaktari wako wapi? 17 Novemba, 2013

JUMLA ya Madaktari 890 kati ya 2,246 (ambayo ni sawa na 39.6%) ya Madaktari wenye shahada nchini Tanzania hawafanyi kazi ya kitabibu badala yake wanafanya kazi zingine…

Soma zaidi…


Tamko la pamoja la watetezi wa haki za binadamu: Kufungiwa kwa magazeti

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu unaowakilishwa na zaidi ya mashirika 50 ya haki za binadamu hapa nchini kwa kushirikiana na Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari…

Soma zaidi…


Watumishi wanaofanya mapenzi na wagonjwa waadabishwe! Septemba, 2013

TUNASIKITISHWA na tunalaani mwendelezo wa ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma unaofanywa na baadhi ya watumishi wa afya.  Hivi karibuni imeripotiwa na vyombo vya habari kwamba watumishi wawili wa afya katika…

Soma zaidi…


Bado kuna uhaba wa Alu katika vituo afya nchini!Juni 19, 2013

Vituo 920 kati ya 5,079 ambavyo ni sawa na asilimia 18.11 vimeripotiwa kutokuwa na aina yoyote ya dawa Mseto ya kutibu malaria (ALu)‘zero stock’ hadi kufikia Juni 19, 2013…

Soma zaidi…


Hongera Wizara ya Fedha Kuweka Wazi kwa Umma Vitabu vya Bajeti: Juni 12, 2013

SIKIKA inaipongeza Wizara ya Fedha na Uchumi kwa kuweka vitabu vya bajeti ya mwaka wa fedha 2013/2014 kwenye tovuti yake kwa wakati muafaka. Uamuzi huu wa kuweka wazi taarifa za bajeti unawawezesha wananchi kushiriki…

Soma zaidi…


Sikika haijawahi kuhusiki kuandaa maandamano ya waviu: May 10, 2013

TUMESIKITISHWA na kauli iliyotolewa bungeni na Mh. Zarina Madabida, mbunge wa viti maalum, mnamo Mei 8, 2013 akidai kwamba Sikika imekuwa ikiwakusanya wagonjwa ambao wanaishi na virusi vya UKIMWI (WAVIU)…

Soma zaidi…


Bunge lijadili ripoti za CAG kwa Uwazi: April 09, 2013

SIKIKA inapenda kuamini kwamba taarifa zilizochapishwa kwenye magazeti mbali mbali kuhusu Bunge kutojadili ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali…

Soma zaidi…


Sikika yampongeza Waziri Mwinyi kwa Kuwajibika: 18 Februari, 2013

SIKIKA inapenda kumpongeza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hussein Mwinyi kwa kuweka bayana na kukiri kwamba kuna uhaba mkubwa wa dawa muhimu za kutibu malaria, maarufu kama dawa mseto (Alu) katika vituo vingi vya huduma za afya vya umma nchini..

Soma zaidi…


Wizara iache ‘siasa’ na malumbano, isambaze dawa za alu!Februari 10, 2012

SIKIKA imeshangazwa na taarifa za Wizara ya Afya na Ustawi waJamii kwamba kuna dawa za kutosha aina ya ALU za kutibu malaria hapa nchini wakati ambapo vituo vya kutolea huduma vya umma vina uhaba mkubwa wa dawa aina hiyo.

Soma zaidi…


Taarifa ya kukithiri kwa uhaba wa dawa za malaria nchini: 29 Januari 2013

DAWA muhimu za malaria zijulikanazo kama dawa mseto (ALu) zimeripotiwa kuadimika katika vituo vingi vya huduma za afya vya umma…

Soma zaidi…


Tamko la vijana kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii -July 2007

Tamko la vijana wa Youth Action Volunteers (YAV) wapatao 600, kwa Mheshimiwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa lililotokana na mjadala juu ya kero zinazoikabili jamii katika utolewaji na upatikanaji wa huduma za afya uliofanyika…

Soma zaidi…


Kauli ya YAV kuhusu kifo cha mama mjamzito- Mwananyamala Hospitali-June 2008

Soma zaidi


Ukaguzi wa vituo vinavyotoa hunduma za afya

WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii ipo katika zoezi la kukagua vituo vya afya nchini vinavyotoa huduma za afya zikiwemo hospitali, zahanati na maabara. Zoezi hililinaloendelea nchini lina lengo la kuhakikisha pamoja na mambo mengine taratibu…

Soma zaidi


Je wabunge wataendelea kupitisha Bajeti – June 2010

KAMA wabunge hawana mamlaka ya kubadilisha bajeti iliyosomwa kwa namna yoyote, kama hawapati vitabu vya bajeti katika muda muafaka na kama wanapewa bajeti ya jumla ya serikali kuidhinisha, basi mchakato mzima wa bajeti hauzingatii ufanisi…

Soma zaidi


Acheni matumizi ya lugha chafu: Watumishi na wafanyakazi wa Afya, July 2010

WATAALAM wa Afya wameonywa kuacha kutumia lugha chafu wanapohudumia wagonjwa kwani kwa kufanya hivyo kunaathiri tabia ya kutafuta matibabu na kuwakatisha tamaa wagonjwa wanaokwenda kupata huduma katika vituo vya huduma za afya vya umma…

Soma zaidi


Matumizi yasiyo ya lazima kuongezeka kufika Tsh. 537bn kwa mwaka wa fedha 2010/11

Pamoja na ufinyu wa bajeti ya taifa, kuna baadhi ya vipengele katika bajeti hii ambavyo vinaonekana kuwa havina tija kutokana kwamba haviwanufaishi watanzania walio wengi. Ni bahati kwamba serikali pia inalitambua tatizo hili la matumizi yasiyo ya lazima kwa wananchi…

Soma zaidi


Rushwa Ndogo Ndogo Inachafua Taaluma ya Utatibu, Oct 2010

RUSHWA hapa nchini, imejitokeza katika aina mbili; rushwa ndogondogo na rushwa kubwa. Rushwa ndogo ndogo imekuwa tishio kwa Serikali kwani zimeendelea kukithiri katika sekta ya afya. Hali hii siyo tu inawaathiri watu wenye kipato cha chini (wasio na uwezo wa kutoa hongo), bali pia inachafua taaluma ya udaktari nchini…

Soma zaidi


Uhaba wa wafanyakazi wa Afya, ni kushindwa kwa Serikali kuwajibika, Dec 2010

MAAFISA utumishi wa halmashauri na watumishi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma wanapaswa kuangalia mafanikio yao kwa kutatua tatizo la uhaba wa wafanyakazi wa afya, ambalo linarudisha nyuma ubora na ufanisi wa utoaji wa huduma za afya…

Soma zaidi


Vichanga vilivyotupwa jalalani Mwananyamala kwa kopa, Feb 2011

SIKIKA imepokea kwa masikitiko makubwa sana habari za kugundulika kwa miili 10 ya watoto wachanga waliokuwa wametupwa katika shimo dogo la takataka huko karibu na eneo la makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa tarehe 31 Januari 2011…

Soma zaidi


Kuweka wazi vitabu vya bajeti! Feb 2011

SERIKALI kuweka wazi vitabu vya bajeti kwa wananchi na wabunge ni jambo muhimu katika kuhimiza Uwazi na uwajibikaji katika mchakato wa bajeti.Pia ni mfano wa kuigwa kwa nchi nyingine…

Soma zaidi


Million 176 zatumika kutuma salamu za pongezi, Aprili 2011

BAADA ya uchaguzi mkuu wa kugombea urais uliofanyika tarehe 31 Oktoba 2010, Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia taasisi, idara na mashirika mbalimbali ya umma ilitumia shilingi 175,639,750 kwa ajili ya kutoa…

Soma zaidi


Hatua kali zichukuliwe dhidi watumishi wa afya wanaojihusisha na rushwa!

SERIKALI ichukue hatua kali dhidi ya watumishi wa afya wanaothibitika kujihusisha na vitendo vya rushwa wakati huohuo wananchi wasifumbie macho matukio ya rushwa kama tuna nia ya dhati ya kuondoa tatizo la rushwa katika vituo vya afya…

Soma zaidi


Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi ifungwe

KWA miaka kadhaa sasa, serikali imeshindwa kufuatilia matokeo na mapendekezo ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa serikali, na hivyo kukosa uwezo wa kuboresha usimamizi wa fedha za umma. Kwa mwaka 2010 kwa mfano, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa hesabu za serikali…

Soma zaidi


Kamati za Bunge kuanza bila nyenzo

WAKATI Kamati za Bunge zikianza kesho(Jumatatu) ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya Kikao cha Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2011/2012, bado Wabunge hawajakabidhiwa vitabu vya makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka huo wa fedha hali ambayo itadhoofisha uwezo wao wa kuchangia mjadala wake ipasavyo…

Soma zaidi


Hitilafu za Bajeti zaiangusha Wizara ya Afya Mei 29, 2011

BAJETI ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii ya mwaka 2010/2011 imejaa mipango isiyofaa na isiyozingatia kanuni, uhalisia na ufanisi hali inayoifanya ishindwe kufanya kazi zake ipasavyo…

Soma zaidi


Kifo cha Daudi Mwangosi: Unyama huu hadi lini? Septemba 2012

SIKIKA imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha mwandishi wa habari wa kituo cha Channel Ten mkoani Iringa, Daudi Mwangosi.  Kwa mujibu wa vyombo vya habari, marehemu Mwangosi alikuwa kazini akitimiza wajibu wake wa kutafuta habari…

SOma zaidi


DAWA BANDIA – ARV: Maswali zaidi yanahitaji majibu 11 Oktoba, 2012

SIKIKA imefurahishwa na taarifa za Wizara ya Afya kuhusu hatua ambazo imechukua hadi sasa kufuatia sakata la dawa bandia za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI. Hata hivyo taarifa ya wizara iliyotolewa na Waziri wa Afya ndugu Hussein Mwinyi imetuacha na maswali kadhaa kama ifuatavyo…

Soma zaidi


Taarifa: Halmashauri yakata kutoa taarifa kwa taasisi isiyo ya serikali

Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO)  katika halmashauri ya Wilaya ya Iramba amekataa kutoa taarifa za kijamii nakusema kuwa hawezi kutoa taarifa kwa taasisi isiyo ya Serikali ya Sikika ambayo kwa sasa ipo katika mafunzo ya kufuatilia na kusimamia uwajibikaji wa jamii ( Public Social Accountability Monitoring – PSAM) wilayani humo.

Soma zaidi


Taarifa: Wizara iache ‘siasa’ na malumbano, isambaze dawa za ALu! Feb 10, 2013

Sikika imeshangazwa na taarifa za Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwamba kuna dawa za kutosha aina ya ALU za kutibu malaria   hapa nchini wakati ambapo vituo vya kutolea huduma vya umma vina uhaba mkubwa wa dawa aina hiyo. Sikika imeshangazwa na taarifa za Wizara ya Afya na Ustawi waJamii kwamba kuna dawa za kutosha aina ya ALU za kutibu malaria   hapa nchini wakati ambapo vituo vya kutolea huduma vya umma vina uhaba mkubwa wa dawa aina hiyo.

Soma zaidi


Taarifa: Bunge lijadili ripoti za CAG kwa Uwazi April 09, 2013

Sikika inapenda kuamini kwamba taarifa zilizochapishwa kwenye magazeti mbali mbali kuhusu Bunge kutojadili ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika mkutano huu wa 11, ama ‘zimenukuliwa vibaya’, au aliyezitoa alikuwa hajawasiliana kikamilifu na viongozi wa juu wa Bunge.

Soma zaidi


Sikika haijawahi kuhusika kuandaa maandamano ya WAVIU: Mei 10, 2013

Tumesikitishwa na kauli iliyotolewa bungeni na Mh. Zarina Madabida, mbunge wa viti maalum, mnamo Mei 8, 2013 akidai kwamba Sikika imekuwa ikiwakusanya wagonjwa ambao wanaishi na virusi vya UKIMWI (WAVIU) na kuwachochea waandamane kwenda ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM).

Soma zaidi


Taarifa kutoka wizara ya afya:Ufafanuzi dhidi ya dawa ya ARVs: Mei 16, 2013

Ufafanuzi wa taarifa mbalimbali zilizotolewa kwenye vyombo vya habari dhidi ya dawa bandia ya kupunguza makali ya ukimwi (ARVs) yenye jina la biashara tt-vir 30 toleo namba 0c.01.85.

Soma zaidi


Kujeruhiwa kwa Sheikh Issa Ponda: Agosti 12, 2013

KWA mara nyingine tena, sisi mashirika ya utetezi wa haki za binadamu, THRD- Coalition, LHRC, SIKIKA, TGNP, CPW na TAMWA tumewaiteni hapa kuwaomba mtufikishie ujumbe wetu huu kwa wananchi wa Tanzania. Ujumbe wenyewe unahusu kujeruhiwa kwa Sheikh Issa Ponda Issa na hali inayoendelea kukua ya uvunjaji wa haki za binadamu nchini…

Soma zaidi


ARVs Bandia: Serikali itoe taarifa sahihi kulinda afya za watumiaji: April 12, 2013

Tumesikitishwakupata taarifa kwamba watu 5,358 wanaoishi na Virusi vya UKIMWI (VVU) waliokuwa kwenye matibabu wameacha kutumia dawa za kupunguza makali ya ugonjwa huo (ARVs), mkoani Dodoma.

Soma zaidi


Watumishi wanaofanya mapenzi na wagonjwa waadabishwe! Septemba, 2013

Tunasikitishwa na tunalaani mwendelezo wa ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma unaofanywa na baadhi ya watumishi wa afya.

Soma zaidi


Watumishi wanaofanya mapenzi na wagonjwa waadabishwe! Septemba, 2013

Tunasikitishwa na tunalaani mwendelezo wa ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma unaofanywa na baadhi ya watumishi wa afya.

Download file


TAMKO LA ASASI ZA KIRAIA: MKUTANO WA WADAU WA KUTATHMINI SEKTA YA AFYA, 5 Novemba 2013

Waheshimiwa Mawaziri, Katibu Mkuu, Wabunge,Mganga Mkuu, Washirika wa Maendeleo Wafanyakazi wa Wizara ya Afya, TAMISEMI,Utumishi,wawakilishi wa sekta binafsi,mabibi na mabwana, habari za asubuh…

Soma zaidi


Madaktari wako wapi? 17 Novemba, 2013

Jumla ya Madaktari 890 kati ya 2,246 (ambayo ni sawa na 39.6%) ya Madaktari wenye shahada nchini Tanzania hawafanyi kazi ya kitabibu badala yake wanafanya kazi zingine.

Soma zaidi


Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors