Kazi za Sikika Kupitia Washirika

  
MAOMBI YA KUKUSIHI KUTO KUTIA SAINI MISWADA YA SHERIA YA TAKWIMU YA 2015…

Mhe. Rais, Mtandao wa watetezi wa haki za binadamu Tanzania, ni muungano wa mashirika zaidi ya 100 yanayo tetea haki za binadamu Tanzania. Mtandao kwa kushirikiana na Wanachama wake pamoja na wasio wanachama tumehuzunishwa na kitendo cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha Muswada wa Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Muswaada wa Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 na Haki za Binadamu kwa Ujumla. Soma zaidi…


Tamko la watetezi wa haki za binadamu kumtaka Rais aisitie saini…

MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa kushirikiana na baadhi ya Wanachama wake, Kituao cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), SIKIKA, Mtandao wa Jinsia-TGNP, Jamii Forums, Mtandao wa Watoa Huduma za Msaada wa Kisheria (TANLAP) tumeshtushwa na kusikitishwa na kitendo cha Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha Muswada wa Sheria ya Takwimu ya Mwaka 2015 na Pamoja na Sheria ya Makosa ya Mtandaoni bila kurekebisha au kuviondoa vifungu vinavyokwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977.  Soma zaidi…


Maelezo binafsi ya mh. Luhaga Mpina (Mbunge – Kisesa) juu ya Mapato na Matumizi ya Serikali

Kwa mujibu wa kifungu cha 28(8), naomba kutoa maelezo binafsi juu ya matumizi ya kawaida ya serikali kuwa makubwa kuliko mapato ya ndani na hivyo kupelekea deni la Taifa kuongezeka…


Madaktari wako wapi? 17 Novemba, 2013

JUMLA ya Madaktari 890 kati ya 2,246 (ambayo ni sawa na 39.6%) ya Madaktari wenye shahada nchini Tanzania hawafanyi kazi ya kitabibu badala yake wanafanya kazi zingine…

Soma zaidi…


Muhtasari wa Bajeti VVU na UKIMWI ya Mwaka 2006-7

Soma zaidi


FemAct walaani uamuzi wa wabunge – August 10th, 2009

SOma zaidi


Madaktari wako wapi? 17 Novemba, 2013

Jumla ya Madaktari 890 kati ya 2,246 (ambayo ni sawa na 39.6%) ya Madaktari wenye shahada nchini Tanzania hawafanyi kazi ya kitabibu badala yake wanafanya kazi zingine.

Soma zaidi


Choose your Style
Layout Style
Predefined Colors * You can use Unlimited Colors