Send SMS: 0688493882

Follow us:

Leta Mabadiliko Boresha Huduma za afya - Mwongozo wa Mwananchi - 2013

Leta Mabadiliko Boresha Huduma za afya - Mwongozo wa Mwananchi - 2013

Ili kuishi maisha marefu na ya furaha, kila mtu anahitaji kupata huduma bora za afya. Kwa bahati mbaya, Tanzania ni nchi masikini na mfumo wake wa huduma za afya unakabiliwa na uhaba wa fedha ambao husababisha vikwazo kama vile; mazingira magumu ya kufanyia kazi na utendaji usio na tija.

File Name: publication403.pdf
File Size: 9.73 MB
File Type: application/pdf
Hits: 390 Hits
Created Date: 06-07-2013
Last Updated Date: 06-07-2013