Send SMS: 0688493882

Follow us:

Sababu za Kiutawala zinazochochea rushwa ndogondogo katika huduma za afya - 2014

Sababu za Kiutawala zinazochochea rushwa ndogondogo katika huduma za afya - 2014

Utafiti huu ulifanywa, kimsingi, katika kushughulikia mapengo ya utafiti yaliyoonekana katika utafiti uliopita uliokuwa umeagizwa na Sikika (wakati huo YAV). Utafiti huo uliopita, ulilenga rushwa katika huduma za afya nchini Tanzania lakini ulishindwa kuangalia kikamilifu masuala yafuatayo: nafasi ya upungufu wa rasilimali; ufanisi wa taratibu za kurekebisha; sababu za kiutawala ambazo zinachangia kuendelea kwa vitendo vya rushwa; vikwazo vya upande wa usambazaji ambavyo vinazidisha vitendo vya rushwa; athari za rushwa katika utafutaji wa huduma za afya; na nafasi ya kamati za usimamizi wa vituo vya afya katika kupambana na rushwa. 

File Name: Petty_Corruption_Study_Booklet_-_SWAHILI.pdf
File Size: 563.03 KB
File Type: application/pdf
Hits: 769 Hits
Created Date: 06-01-2014
Last Updated Date: 06-01-2014